“
“Jina langu ni Juma, mzaliwa wa Kagera, Tanzania. Leo naamua kuvunja ukimya na kueleza siri iliyokuwa ikiiteketeza maisha yangu, nikiamini simulizi yangu itakuwa daraja la wokovu kwa mwanaume mwingine aliyepoteza matumaini.Safari yangu ya kuelekea shimoni ilianza zamani nikiwa masomoni chuoni. Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana ambaye siku moja alinionyesha picha na video za ngono (pornography). Wakati huo, tuliona ni burudani na njia ya kujifurahisha. Sikujua kuwa nilikuwa nakumbatia nyoka ambaye angenigonga miaka mingi baadaye.
Kile kilichoanza kama mchezo kikawa uraibu usiozuilika. Punde si punde, nikajikuta nimeingia kwenye mtego mwingine wa kujichua (masturbation). Kila nilipotazama zile video, nilihisi msukumo wa ajabu ambao sikuweza kuushinda. Niliishi maisha ya siri, huku nguvu zangu za kiume zikififia siku hadi siku bila mimi kujua. Get full story here.




