Kila mwanamke ana ndoto ya kuwa na uhusiano thabiti, wenye upendo na amani. Kwa Mary, mwanamke wa makamo mkazi wa mkoa wa Kigoma, Tanzania, ndoto hiyo ilionekana kutimia. Alikuwa kwenye uhusiano ambao kila mtu mtaani aliutamani. Mapenzi yao yalikuwa kielelezo cha furaha, na Mary aliweka nguvu, muda, na moyo wake wote kuhakikisha moto wa mahaba unazidi kuwaka.
Hata hivyo, baada ya miezi michache kupita, mambo yalianza kubadilika ghafla bila sababu ya msingi. Yale maisha ya kicheko yaligeuka kuwa ya simanzi na migogoro isiyoisha. Mary alijitahidi kila awezavyo kurudisha furaha ya nyumba yake, lakini kadiri alivyojaribu, ndivyo mambo yalivyozidi kuharibika.Kitu kilichomuumiza zaidi ni dharau alizopata kutoka kwa mumewe. Get full story here.




