Huu ni ushuhuda wa kweli kutoka jijini Arusha, kuhusu familia ya Mzee Abdulah na mkewe. Maisha yao yalianza kwa furaha tele walipowapata watoto wao mapacha, Baraka na Faraji. Tangu utotoni, walikuwa kama pete na kidole; walivaa sare, walisoma shule moja, na hata mmoja akiumwa, basi mwingine naye aliishiwa nguvu.
Matatizo yalianza baada ya kumaliza elimu ya msingi. Baraka alichaguliwa kujiunga na shule ya kutwa ya kawaida, huku Faraji akifanikiwa kwenda Shule ya Kitaifa (National School). Tangu siku hiyo, ule uzi uliowaunganisha ulikatika. Get full story here.






