Home News Kutoka Kwenye Anguko la Biashara Hadi Utajiri: Jinsi Nilivyoondoa Nuksi ya Biashara...

Kutoka Kwenye Anguko la Biashara Hadi Utajiri: Jinsi Nilivyoondoa Nuksi ya Biashara na Kupata Mafanikio Makubwa

Jina langu ni Ali Ahmed, mwanaume wa makamo ninayeishi katika kijiji kidogo mkoani Mbeya, Tanzania. Hii ni hadithi ya maisha yangu, mapambano yangu, na jinsi nilivyopata msaada wakati nilipokuwa nimekata tamaa kabisa.Kwa miaka mingi, nilikuwa na ndoto ya kumiliki biashara yangu mwenyewe.

Nilianzisha duka la vifaa vya ujenzi (Hardware), biashara ambayo nilijivunia sana. Niliwekeza kila senti niliyokuwa nimejiwekea akiba kwa muda mrefu, nikitumaini kuwa ningepata faida na kuboresha maisha yangu na ya familia yangu.

Miezi michache ya kwanza, mambo yalikuwa yakenda vizuri sana. Duka lilichangamka na wateja walikuwa wakimiminika kununua vifaa. Niliona kama nyota yangu imeng’aa. Get full story here.

Leaderboard Ad