Kwa miaka mingi, nilikuwa mfungwa ndani ya chumba changu mwenyewe. Sikuwa nimefungwa kwa kamba, bali kwa uraibu uliokula nafsi yangu taratibu.”Jina langu ni Aisha kutoka Arusha, Tanzania.Kwa nje, nilionekana mwanamke mrembo, mwenye kazi nzuri na maisha ya kuvutia.
Lakini pindi nilipofunga mlango wa nyumba yangu, niligeuka kuwa mtumwa. Tangu nikiwa mdogo, nilijikuta nimenaswa kwenye uraibu wa kuangalia picha na video za ngono (ponografia) na kujichua.
Hili lilikuwa giza nene ambalo hakuna aliyelijua.Uraibu huu uliharibu kabisa uwezo wangu wa kupenda na kupendwa. Get full story here.





