Jina langu ni Charles, kijana mpambanaji na mkazi wa jijini Dar es Salaam. Kwa muda mrefu, nimekuwa nikifanya kazi kama fundi makenika (professional mechanic), kazi ambayo nimeiheshimu na kuipenda sana. Hata hivyo, siku zote nilikuwa na ndoto kubwa zaidi: kufungua duka langu la kuuza vipuri vya magari (spare parts).
Kwa mwaka mzima uliopita, nilijinyima sana. Nilifanya kazi kwa bidii, nikala kwa uchache, na kuweka akiba kila senti niliyopata. Lengo langu lilikuwa moja tu kukusanya mtaji wa kutosha ili niweze kuagiza mzigo wa maana kutoka nje ya nchi. Get full story here.




